PROGRAMME DETAILS
Shahada ya Umahiri Katika Fasihi ya Kiswahili ( MAKL )
Duration: (18 Months)
Study mode: Full-time
Tuition fee: Tsh 5,400,000
Specialization: Fasihi ya Kiswahili
Direct Entry
Ili mwombaji aweze kuchaguliwa kujiunga na Programu ya MA-Fasihi ya Kiswahili, atapaswa kuwa na Shahada ya Kwanza yenye somo la Kiswahili ya ufaulu wa wakia (GPA) 2.7 kutoka Chuo Kikuu cha ndani au nje ya Tanzania kinachotambulika na TCU
OTHER PROGRAMMES
Certificate in Human Resources Management ( CHRM )
Full-time (1 Year)
Diploma in Entrepreneurship Development ( DED )
Full-time (2 Years)
Diploma in Law ( DL )
Full-time (2 Years)